Posts

Bidhaa zetu

Image
Genuine bites company inajihusishana uzalishaji was bites mbalimbali zikiwepo za hapo kwenye poster,ambapo ni crisps za viazi mviringo na viazi vitamu, crisps za ndizi(mafufu yaani zilizoiva), crisps za mihogo,crisps za magimbi, Ubuyu wa kihindi toka Iringa, Tetele, Tambi, Karanga (za mayai, mbichi na zilizokaagwa), popcorns na Korosho.